
SWALA YA MAITI
The description of SWALA YA MAITI App Hapa utajifunza namna ya kutekeleza ibada ya kumswalia maiti ama swala ya jeneza. Tumeandaa somo hili kwa ajili ya kutoa elimu kwa waislamu ambao wanataka kujifunza swala ya maiti na namna ya kumhifadhi...